Kaizari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 12:
 
==Ulaya==
Katika [[Ulaya]] yenyewe mfalme wa [[WafrankiWafaranki]] [[Karolo Mkuu]] alipokea cheo cha "Caesar" au Kaizari. Baadaye wafalme [[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Ujerumani|Wajerumani]] waliomfuata Karolo Mkuu katika sehemu ya mashariki ya ufalme wake waliendelea kutumia cheo hiki cha Caesar au Kaizari.
 
Neno la Kaizari liliingia katika lugha ya Kiswahili wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] huko [[Tanzania]]. [[Austria]] na [[Ujerumani]] zilitawaliwa hadi mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] [[1918]] na wafalme wenye cheo cha "Kaizari" (''[[kijer.]]: Kaiser)''.
Mstari 18:
Vilevile mfalme wa [[Urusi]] alikuwa na cheo kilekile kilichoitwa "[[Tsar]]" kwa Kirusi, ilhali neno hili limeundwa pia kutoka kwa "Caesar".
 
Lugha za [[KiingerezeaKiingereza]] na [[Kifaransa]] zilitumia cheo tofauti cha macaesar wa Kiroma ndicho "Imperator" (=mwenye amri, mwenye mamlaka, jemadari) kilichokuwa "Emperor" ([[Kiingereza|Kiing.]]) au "Empereur" ([[Kifaransa]]).
 
==Nje ya Ulaya==
Kaizari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa [[Uajemi]], Tenno wa [[Japani]], Huangdi wa [[China]] na [[Negus Negesti]] wa [[Ethiopia]] hutajwa kwa cheo cha "Kaizari".
 
Malkia [[Malkia Viktoria ( wa Uingereza)|Viktoria]] alitumia cheo cha Kaizari ("empress") kama mtawala wa [[Uhindi]] tangu [[1877]].
 
Wakati wa [[ukoloni]] mtawala mkuu wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] alikuwa [[Kaizari Wilhelm II]] wa Ujerumani; kwenye sarafu ya [[rupia]] alionyeshwa pamoja cheo kwa lugha ya [[Kilatini]] "imperator".
 
Rais [[Jean-Bedel Bokassa]] alijitangaza kuwa Kaizari ("empereur") wa [[Afrika ya Kati]] mwaka [[1977]] akiiga mfano wa [[Napoleon Bonaparte]] aliyejiwekea taji la Kaizari ya [[Ufaransa]] mwaka [[1804]]. Bokassa alipinduliwa 1979 na nchi kuwa [[jamhuri]] tena.
 
Rais [[Jean-Bedel Bokassa]] alijitangaza kuwa Kaizari ("empereur") wa [[Afrika ya Kati]] mwaka [[1977]] akiiga mfano wa [[Napoleon Bonaparte]] aliyejiwekea [[taji]] la Kaizari ya [[Ufaransa]] mwaka [[1804]]. Bokassa alipinduliwa [[1979]] na nchi kuwa [[jamhuri]] tena.
 
[[Category:Cheo| ]]