Tanzanaiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Tanzanaiti''' ni [[kito]] chenye rangi ya buluu hadi dhambarau na kijani. Inachimbwa katika kaskazini ya [[Tanzania]].
 
Tanzanaiti iligunduliwa mara ya kwanza mwaka [[1967]] katika milima ya [[Mererani]] kwenye [[Wilaya ya Simanjiro]], karibu na [[Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro]]. na mji wa [[Arusha]]. Kito hiki inapendwa sana kimataifa bei zake zilicheza kati ya dola za Marekani 250 na 500 kwa karati moja (=milli[[gramu]] 200).
 
Kikemia ni aina ya madini ya Zoiziti ambayo haina thamani kubwa vile katika maumbo mengine. Lakini tanzanaiti bandia inatengenezwa kwa kupasha moto fuwele za zoiziti ya kawaida zinazobadilika rangi motoni.
 
==Viungo vya Nje==
{{commons category|Tanzanite|Tanzanaiti (tanzanite)}}
* [http://www.time.com/time/magazine/article/0,9171,1594137-1,00.html Time Article of 2007 about the popularity of tanzanite].
* [http://www.time.com/time/magazine/article/0,9171,900582,00.html Article in the early stages of tanzanite (1969)]
* [http://www.swalagemtraders.com/news/2008/02/06/4-tanzanite-july-7-1967-tanzanite-something-new-out-of-africa-but-no-one-knew-what-it-was Interesting article and documents from the early days: "Something new out of Africa but no one knew what it was".]
* [http://www.gemstone.org/gem-by-gem/english/tanzanite.html The ICA's tanzanite information page.]
* [http://www.irinnews.org/Film/?id=4119 Gem Slaves - a short film from 2006 on tanzanite's child miners]
* [http://www.palagems.com/Images/mineral_news/munich09_tanz.jpg A picture of a purported 737.81 carat faceted tanzanite] (No reliable source to corroborate)
 
[[Category:madini]]