Barabara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[File:PompeiiStreet.jpg|thumb|Barabara ya [[Roma ya Kale]] huko [[Pompei]], Italia.]]
'''Barabara''' ni [[njia]] iliyotengenezwa ili kupitisha [[binadamu]] akitumia [[vyombo vya usafiri]] kama vile ma[[gari]], [[pikipiki]], [[baiskeli]] pamoja na [[farasi]].
[[barabara ya mchepuko]]
 
hii ni barabara ambayo huitumiwa mara chache endapo kama barabara kuu itakuwa na matengenezo. Barabara hii hurahisisha mawasiliano kati ya barabara kuu hivyo hupunguza msongamano wa magari hususani katika miji mikubwa
[[Lengo]] ni kurahisisha [[mawasiliano]] toka [[mahali]] hadi mahali, hivyo ni kati ya [[miundombinu]] muhimu zaidi.