Mkoa wa Katavi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 61:
 
Pia kuna sehemu za mkoa huu ni wa kihistoria katika baadhi ya maaneo. Mfano mtaa wa Madukani ambao walikua wakiishi Wahindi na Waarabu wa Oman kama Mzee Yusuf Al Salmi.
 
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
* Mpanda Mjini
* Mpanda Vijijini
* Katavi
* Nsimbo
* Kavuu
 
 
==Marejeo==