Mkoa wa Iringa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
 
Mwaka [[2010]] mkoa umemegwa na kuzaa [[mkoa wa Njombe]] upande wa kusini.
 
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
* Iringa Mjini
* Isimani
* Kalenga
* Kilolo
* Mufindi Kaskazini
* Mufindi Kusini
* Mafinga Mjini
 
==Marejeo==