Sekta ya viwanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 10:
* viwanda vya kemia vinavyotumia malighafi kama [[mafuta ya petroli]] na [[minerali]] pamoja na madawa mbalimbali vikitoa kwa mfano [[mbolea]], [[saruji]], [[karatasi]], [[plastiki]], [[petroli]] au madawa ya tiba
* viwanda vya kutolea bidhaa za matumizi ya kila siku kama vile [[vyakula]], nguo, [[fenicha]], magazeti, vitabu au mahitaji ya ofisi.
Kwaupande wa Tanzania nitofauti na Nchi nyingine duniani kwani kuna viwanda vichache zaidi ina sababisha watuwengiu kukosa Ajira
 
== Mfumo wa viwanda ==
Viwanda kwa maana ya kisasa vimejitokeza tangu kupatikana kwa mashine hasa tangu karne ya 19. Kupatikana kwa [[mashine ya mvuke]] kulirahisisha gharama za kutengeneza kwa vitu na kusababisha [[mapinduzi ya viwanda]] yaliyoanza nchini [[Uingereza]] yakisambaa haraka Ulaya na Marekani.
 
Sekta ya viwanda ilipanua sana katika karne ya 19 hadi katikati ya karne ya 20; katika nchi zilizoendelea karibu nusu ya wafanyakazi wote walikuwa katika sekta hii. Ila tu tangu nusu ya pili ya karne ya 20 sekta ya tatu na ya nne yaani biashara na huduma zilianza kuwa na wafanyakazi wengi zaidi. Hii ni tokeo la kufanyikiwa kwa viwanda vinavyoendelea kutoa bidhaa nyingi haraka kwa kuhitaji wafanyakazi wachache kulko zamani kwa sababu uwezo wa mashine imeongezeka.
 
 
== Marejeo ya Nje ==
 
{{reflist}}
 
[[Jamii:Uchumi]]