Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages. As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

ELIMU ni kitu cha msingi katika maisha ya binadamu pia ni ufunguo wa maisha ya binadamu TUSOME KWA BIDII SANA

Miaka ya KKEdit

Ndugu Fute. Asante kwa michango yako. Shauri moja tu: Naona kwamba haileti faida kubwa tukianzisha makala nyingi za miaka kabla ya Kristo kama hata wanahistoria wataalamu hawajui kitu kuhusu miaka ileile (ukiangalia wikipedia ya Kiingereza utakuta kwamba miaka kadhaa haina makala). Tuingize habari zifaazo katika makala zetu. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 13:07, 23 Januari 2016 (UTC)

Ndugu McDonaln Fute. Asante kwa michango yako. Sasa naomba kwa kila mwaka ambao ulianzisha makala kwake, pia uingize habari, angalao tukio moja au mtu aliyezaliwa ama kufariki mwaka huo. La sivyo, makala hizo za miaka hazitaleta faida kwa msomaji. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 19:01, 13 Februari 2016 (UTC)
Nashuku nita jitahidi asante

NambaEdit

Salaam Aloyce, naomba ukianzisha makala fanya utafiti na weka kiungo kwa interwiki (upande wa kushoto "languages", "add links", unganisha na enwiki na makala husika kule. PIA maomba ukiendelea: hizi makala fupi zimeshajaza "jamii:Namba" haisaidii tena. Je una nafasi ya kuanzisha jamii mpya "Jamii:Namba asilia" (kuwa jamii ndogo ya "Jamii:Namba")? Halafu kuhamisha makala zooote za namba 1,2,3,4,5,6 .... huko (yaani kwa kufungua kila moja, halafu kubadilisha jamii?) Ningeshukuru sana! Kipala (majadiliano) 09:02, 17 Juni 2016 (UTC)

Share your experience and feedback as a Wikimedian in this global surveyEdit

  1. This survey is primarily meant to get feedback on the Wikimedia Foundation's current work, not long-term strategy.
  2. Legal stuff: No purchase necessary. Must be the age of majority to participate. Sponsored by the Wikimedia Foundation located at 149 New Montgomery, San Francisco, CA, USA, 94105. Ends January 31, 2017. Void where prohibited. Click here for contest rules.

Viungo vya miakaEdit

Ndugu McD, salaam! Nashukuru sana kwa bidii yako upande wa namba asilia. Hata kuongeza viungo vya miaka katika makala mpya umeviongeza. Asante! Sasa naomba uongeze hivyo viungo pia katika makala kuanzia Kumi na mbili hadi Mia tano na thelathini na tisa. Nami nitaendelea na vigawo vya namba tasa. Asante sana kwa ushirikiano! Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 13:46, 8 Februari 2017 (UTC)

namba 557-599Edit

Ndugu McD, wapi namba kuanzia 557 hadi 599? :) Asante sana kwa msaada wako upande wa namba asilia! Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 18:21, 11 Februari 2017 (UTC)

Your feedback matters: Final reminder to take the global Wikimedia surveyEdit

(Sorry to write in English)

HongeraEdit

Ndugu napenda kukupa hongera; makala uliyoanzisha ya Ali Kiba leo ilikuwa na. 2kwenye orodha ya makala zinazoangaliwa zaidi sw-topviews. Hii ni kwako pamoja na wengine waliochangia! Kipala (majadiliano) 17:11, 31 Agosti 2017 (UTC)