Sita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Nyongeza namba ya Kiroma na ya Kiarabu
Mstari 1:
[[File:Evolution6glyph.png|x50px|thumb|right|Mabadiliko katika kuandika sita.]]
'''Sita''' ni [[namba]] ambayo inafuata [[tano]] na kutangulia [[saba (namba)|saba]]. Kwa kawaida inaandikwa '''6''' lakini '''VI''' kwa [[namba za Kiroma]] na '''٦''' kwa [[Namba za Kiarabu|zile za Kiarabu]].
 
Namba hiyo katika [[Kiswahili]] ina asili ya [[Kiarabu]] pamoja na [[sitini]] (sita mara [[mbilikumi]]).
 
==Marejeo==