Kenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Nyongeza namba ya Kiroma na ya Kiarabu
Mstari 1:
[[File:Evo9glyph.svg|x50px|thumb|right|Mabadiliko katika kuandika tisa.]]
'''Kenda''' ni [[Kiswahili]] asilia kwa namba 9. NenoKwa hilikawaida niinaandikwa la'''9''' asililakini ya'''IX''' kwa [[Kibantunamba za Kiroma]]. na '''٩''' kwa [[Namba za Kiarabu|zile za Kiarabu]].
 
Neno hili ni la asili ya [[Kibantu]]. Siku hizi neno "[[tisa]]" ambalo ni neno leye asili ya [[Kiarabu]] hutumiwa zaidi kutaja namba 9, pamoja na [[tisini]] (tisa mara [[kumi]]).
 
[[Kamusi]] za mwanzo na katikati ya [[karne ya 20]] kama [[M-J SSE]] zinasema ya kwamba "kenda" iliwahi kutumiwa sawa na "tisa".