Kenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 2:
'''Kenda''' ni [[Kiswahili]] asilia kwa namba 9. Kwa kawaida inaandikwa '''9''' lakini '''IX''' kwa [[namba za Kiroma]] na <big><big>٩</big></big> kwa [[Namba za Kiarabu|zile za Kiarabu]].
 
Neno hili ni la asili ya [[Kibantu]]. Siku hizi neno "[[tisa]]" ambalo ni neno leye asili ya [[Kiarabu]] hutumiwa zaidi kutaja namba 9, pamoja na [[tisini]] (tisa mara [[kumi (namba)|kumi]]).
 
[[Kamusi]] za mwanzo na katikati ya [[karne ya 20]] kama [[M-J SSE]] zinasema ya kwamba "kenda" iliwahi kutumiwa sawa na "tisa".