Rasi ya Italia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q145694 (translate me)
kiungo
Mstari 5:
Iko katika kusini ya Ulaya ikizungukwa na Bahari Mediteranea pande tatu. Umbo la lake ni kama mguu unaocheza mpira na mpira ni kisiwa cha [[Sisilia]].
 
Karibu eneo lake lote ni nchi ya [[Italia]]. Maeneo mawili madogo ndani yake ya kujitegemea ni [[San Marino]] na [[Mji wa Vatikani]].
 
Jina la pili la Rasi ya Apenini latokana na milima ya [[Apenini]] inayovuka sehemu kubwa ya urefu wa rasi. Kaskazini kuna tambarare kubwa lenye rutba.