Laki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala moved page Lakhi to Laki over redirect
No edit summary
Mstari 1:
'''LakhiLaki''' (kwa kawaida zaidipia '''LakiLakhi''') ni neno lenye asili ya [[Kihindi]] linalotumika kutaja [[namba]] 100,000, ambayo inafuata 99,999 na kufuatwa na 100,001. Inaweza kuandikwa pia 10<sup>5</sup>.
 
Kwa mfano, [[Mji]] una wakazi lakhilaki tano, yaani [[mia]] [[tano]] [[elfu]].
 
Namba 650,000 inaweza kusomwa "lakhilaki sita na nusu".
 
Neno limeingia katika [[Kiswahili]] kutokana na [[historia]] ndefu ya [[mawasiliano]] ya ki[[biashara]] kati ya [[Bara Hindi]] na [[pwani]] ya [[Afrika ya Mashariki]].