Kimelea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '300px|thumbnail|Vimchango vinaishii juu ya bui na kumnyonya '''Kimelea''' (''pia:'' '''kidusia'''<ref>'''Kidusia''' ni pendekezo la [...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Parasitismus.jpg|300px|thumbnail|Vimchango vinaishii juu ya bui na kumnyonya]]
'''Kimelea''' (''pia:'' '''kidusia'''<ref>'''Kidusia''' ni pendekezo la [[KAST]], '''Kimelea''' ni matumizi ya kamusi nyingine za [[TATAKI]]</ref>) ni kiumbehai kinachoshi ndani au juu ya kiumbehai kingine cha spishi tofauti na kupata virutubisho kotokanakutokana na mwili wa kiumbe hicho ambacho kwa kawaida ni kikubwa zaidi bila kumpa kiumbe mgenimwenyeji faida yoyote. Mara nyingi kinaleta hasara au kusababisha ugojwa. Vimelea vingi ni vidogo sana vikiishi ndani ya wanayama au binadamu.
 
==Aina za vimelea==