Seli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 156.159.219.135 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Masahihisho
Mstari 2:
'''Seli''' (''kutoka [[Kilatini]] cellula = chumba kidogo'') ni [[chumba]] kidogo ndani ya [[mwili]] wa [[binadamu]], [[wanyama]]. [[mimea]] n.k.
 
Mwili wote wa kila [[kiumbehai]] hufanywa nakwa seli. Viumbehai vidogo sana kama [[bakteria]] huwa na seli moja tu. Mwili wa mwanadamu huwa na seli [[trilioni]] 100 au 10<sup>14</sup>.
 
Kila [[yai]] ni seli moja tu, hivyo seli kubwa [[duniani]] ni yai la [[mbuni]].
 
Seli za kawaida ni ndogo sana kiasi kwamba huweza kutazamwa tu kwa kutumia [[hadubini]].
 
== Muundo wa seli ==
Seli zinatofautiana kisasi kati ya doeni[[domeni]] za viumbehai. Bakteria na [[archaea]] ([[prokaryota|prokarioti]]) huwa na seli za mfuto lakini seli za [[eukaryota|eukarioti]] zina vitu ndani zao.
== Aina za seli ==
Kuna aina kuu mbili za seli, nazo niː
* '''Seli ya prokarioti''': haina [[kiini cha seli|kiini]], [[chembeuzi]] moja katika utegili, haina [[dutuvuo]]
* '''Seli ya eukarioti''': ina kiini, chembeuzi nyingi katika kiini, ina dutuvuo
 
Kimsingi seli za eukaryota huwa naː
* [[kiini cha seli]],
* [[utando wa seli]] ([[ganda]] la nje) na
* [[Utegili (seli)|utegili]] unaojaza chumba ndani ya utando. Ndani ya utegili kuna sehemu nyingine zenye kazi mbalimbali kama vile [[ribosomu]] au [[dutuvuo]] ([[mitokondria]]).
 
==Kuna Ainaaina mbili za seli ==za kieukarioti:
* '''Seli ya mmeamnyama''' ni aina ya seli zinazopatikanaambazo zinapatikana kwenye miili ya [[mimeamnyama|wanyama]] yotewote kama vile [[miti]]binadamu n.k.
Kuna aina kuu mbili za seli, nazo niː
* '''Seli ya mnyamammea''' ni aina ya seli ambazo zinapatikanazinazopatikana kwenye miili ya [[wanyamammea|mimea]] woteyote kama vile binadamu[[mti|miti]] n.k.
* '''Seli ya mmea''' ni aina ya seli zinazopatikana kwenye [[mimea]] yote kama vile [[miti]] n.k.
 
Licha ya kuwa katika sehemu tofauti za [[viumbe haiviumbehai]], seli hizi zinafanana baadhi ya vitu na kutofautiana pia.
 
Baadhi ya vitu ambavyo vipo kwenye seli ya mnyama na seli ya mmea ni pamoja na:
Line 27 ⟶ 31:
*Zote zina utando wa seli
*Zote zina utegili
*Zote zina dutuvuo
 
Tofauti kati ya seli ya [[mnyama]] na seli ya [[mmea]] ni pamoja na: