Defao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Matumona Francois''' (amezaliwa 31 Desemba, 1958) - pia anajulikana kama '''General Defao''' ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchi ya Jamhu...'
 
+sanduku la habari
Mstari 1:
{{Msanii muziki 2
| Jina = Defao
| Img =
| Img_capt =
| Img_size =
| Landscape =
| Background = solo_singer
| Jina la kuzaliwa = Matumona Defao Lulendo
| Amezaliwa = {{birth date|mf=yes|1958|12|31|mf=y}}<br /><small> [[Kinshasa]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]</small>
| Ala = [[Sauti]], [[gitaa]]
| Aina = [[Soukous]], [[muziki wa dansi]]
| Kazi yake = [[mwimbaji|mwimbaji/]][[mtunzi wa nyimbo]], [[mwanamuziki]]
| Aina ya sauti =
| Miaka ya kazi = 1976 - hadi sasa
| Studio =
| Ameshirikiana na = Orchestre Suka Movema, Fogo Stars, Bozi Boziana, Grand Zaiko Wawa, Pepe Felix Manuaku
| Tovuti =
| Ala zinazojulikana =
}}
'''Matumona Francois''' (amezaliwa [[31 Desemba]], [[1958]]) - pia anajulikana kama '''General Defao''' ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchi ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Defao Matumona, huonekana kama miongoni mwa waimbaji wa Kikongo wenye majina makubwa.
Kazi zake za muziki hasa huzifanyia hukohuko kwao Kongo. Alianza kuimba mwaka 1976 kwenye makundi madogomadogo, huko mjini [[Kinshasa]]. Waliomvutia kuingia katika muziki kwa kipindi hicho ni [[Papa Wemba]], [[Nyoka Longo]], [[Gina Efonge Evoloko]] na waimbaji wanne wa kundi la Zaiko la miaka ya sabiini. Lakini yule hasa aliyemvutia akiimba ni [[Tabu Ley Rochereau]].