Queen Latifah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+
dNo edit summary
Mstari 4:
|Img_capt =
|Background = solo_singer
|Jina la kuzaliwa = Dana Elaine Owens
|Pia anajulikana kama = Queen Latifah, The Queen of Rap
|Amezaliwa = {{birth date and age|1970|3|18|df=yes}}
Mstari 16:
|Tovuti = [http://www.queenlatifah.com/ www.QueenLatifah.com]
}}
'''Dana Elaine Owens''' (amezaliwa tar. [[18 Machi]] [[1970]]),<ref>{{cite web |url=http://movies.msn.com/celebrities/celebrity-biography/queen-latifah.1/|title=Queen Latifah:Biography|author=Jason Buchanan, Allmovie |accessdate=2008-09-04 |date=2008 |publisher=[[MSN]] }}</ref> anafahamika zaidi kwa jina lake la [[jina la kisanii|kisanii]] kama '''Queen Latifah''', ni [[Kurap|rapa]], [[mwigizaji]], na [[mwimbaji]] kutoka nchini [[Marekani]]. Kazi zake Queen Latifah katika muziki, filamu na televisheni zimepelekea kupata tuzo ya [[Golden Globe Award|Golden Globe]], [[Screen Actors Guild Awards]] mbili, [[NAACP Image Awards|Image Awards]] mbili, [[Grammy Award]], amechaguliwa mara sita kwenye Grammy, na kuchaguliwa tena kwenye [[Emmy Award]] na [[Academy Award]].
 
== Maisha ya awali ==
Mstari 34:
 
=== Kurudi katika hip hop (2008–mpaka sasa) ===
Mnamo 2008, Latifah aliulizwa kama anaweza kutengeneza albamu nyingine ya hip hop. Alinukuliwa akisema kwamba albamu isha-kamilika tayari na itaitwa "All Hail the Queen II". Kulikuwa na fununu ya kwamba albamu ingeitwa "The 'L' Word". Alipoulizwa kuhusu fununu hizo, alieleza kwamba lilikuwa jaribio lake tu la "kuvuruga mibichwa ya watu" wanamzania kwamba ni msagaji.<ref>{{cite web|url=http://www.lesbilicious.co.uk/music/lesbian-album-scares-queen-latifah/|title=Lesbian album scares Queen Latifah”}}</ref> Mnamo tar. [[12 Septemba]] [[2008]], Rolling Stone waliitoa taarifa ya kwamba Queen Latifah anapika albamu yake mpya itakayoitwa ''Persona''. Kasha la albamu hii linafanana na mchezo wa videoo wa Shin Megami Tensei: Persona. Wimbo "Cue the Rain" ulitolewa ukiwa kama single kiongozi kutoka katika albamu. Pia kuna wimbo kaimba na [[Missy Elliott]].<ref>{{cite web|url=http://www.rollingstone.com/rockdaily/index.php/2008/09/12/queen-latifah-returns-to-hip-hop-with-dr-dre-on-lp-she-nearly-named-the-l-word/|title=Queen Latifah Returns to Hip-Hop With Dre on LP She Nearly Named “The L Word”}}</ref>
 
== Filamu na televisheni ==
Mstari 44:
=== Mafanikio (2002–mpaka sasa) ===
== Vitabu ==
Latifah alitunga kitabu kuhusu maisha yake, ambacho kilichapishwa mnamo 1999 na HarperCollins - Ladies First: Revelations of a Strong Woman (ISBN 0-688-15623-1).
 
== Maisha binafsi ==