Njombe (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Bot: Replacements: fix URL prefix
Mstari 22:
Hadi mwaka 2012 kata za mji wa Njombe zilikuwa sehemu ya Wilaya ya Njombe ya awali; baadaye Njombe Mjini na [[Wilaya ya Njombe Vijijini]] zilitengwa kuwa halmashauri mbili za pekee. Kabla ya kugawiwa eneo la Njombe ilikuwa sehemu ya [[Mkoa wa Iringa]].
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya hii ya Njombe mjini ilikuwa na wakazi wapatao 130,223 waishio humo. <ref>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Njombe Region – Njombe Town-Council]</ref>
 
Wenyeji ni hasa [[Wabena]].