Nondo (mdudu) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
Nyongeza matini
Mstari 24:
 
Takriban nondo wapevu wote hawali, lakina kadhaa hula [[mbochi]]. Viwavi vya spishi nyingi vinakula [[mmea|mimea]] ya mazao. Kwa kawaida wakulima hutumia [[Dawa ya Kikemikali|dawa za kikemikali]] kuua viwavi hivi. Lakini siku hizi vimekuwa sugu dhidi ya dawa hizi. Kwa hivyo ni bora kutumia [[dawa za kibiolojia]], kama [[Bacillus thuringiensis|''Bt'']] au virusi au [[Kuvu Kiuawadudu|kuvu viuawadudu]].
 
Katika sehemu mbalimbali za [[Afrika]] viwavi vya spishi kubwa huliwa, k.m. [[nondo wa mopani]] katika [[Afrika Kusini]], [[Botswana]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Namibia]], [[Zambia]] na [[Zimbabwe]].
 
==Spishi kadhaa za Afrika==