Jiolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Exploration_geologist.jpg|thumb|300px|Wanajiolojia wakichunguza sampuli za mwamba zilizopatikana kwa njia ya kekee.]]
'''Jiolojia''' (kutoka [[Kigiriki]] γῆ ''ge'' „ardhi“ na λόγος ''logos'' „somo, mafundisho“ = "geologia" - kwa [[matamshi]] ya [[Kiingereza]] "jiolojia") ni [[fani]] ya [[sayansi]] inayogunduainayochunguza [[maumbile]] ya [[dunia]] na [[tabia]] zake za [[fizikia|kifizikia]] na [[kemia|kikemia]]. Inachungulia pia [[historia ya dunia]] na nguvu zinazoendelea kubadilisha maumbile ya dunia yetu.
 
[[Neno]] "geologia" liliwahi kutumiwa mara ya kwanza mnamo [[1778]] na [[Mfaransa]] [[Jean-André Deluc]] (1727–1817[[1727]]–[[1817]]).
'''Jiolojia''' ([[Kigiriki]] γῆ ''ge'' „ardhi“ na λόγος ''logos'' „somo, mafundisho“ "geologia" - kwa matamshi ya Kiingereza "jiolojia") ni sayansi inayogundua maumbile ya dunia na tabia zake za kifizikia na kikemia. Inachungulia pia historia ya dunia na nguvu zinazoendelea kubadilisha maumbile ya dunia yetu.
 
Jiolojia inatazama [[mawe]] na [[ardhi]] ikitafuta maelezo kwa [[umbo]] na tabia zaozake kuligana na kanuni za kisayansi.
Neno "geologia" liliwahi kutumiwa mara ya kwanza mnamo 1778 na Mfaransa Jean-André Deluc (1727–1817).
 
Jiolojia inatazama mawe na ardhi ikitafuta maelezo kwa umbo na tabia zao kuligana na kanuni za kisayansi.
 
Kuna masomo madogo ndani ya jiolojia kama vile:
* [[Petrolojia]] ni [[elimu]] ya mawe na [[Mwamba (jiolojia)|miamba]]
* [[Mineralojia]] ni elimu ya [[madini]]
* [[Jiolojia ya kihistoria]] ni elimu ya matokeo yaliyosababisha kutokea kwa mawe, miamba, [[milima]] na [[mabara]] jinsi yalivyo leo
* [[Paleontolojia]] ni elimu ya [[visukuku]] (mabaki ya [[miili]] ya [[wanyama]] wa kale yaliyokuwa kama mwamba)
* [[Hidrojiolojia]] ni elimu ya hali ya [[maji]] chini ya uso wa dunia
* [[Volkenolojia]] ni elimu ya [[volkeno]] kwenye mabara au chini ya [[bahari]]
 
== Aina za miamba ==
Jiolojia inachuguzainachunguza hasa [[Mwamba (jiolojia)|miamba]] na kutofautisha aina tatu kufuatana na misingi yaoyake:
* Mwamba Moto-mwamba wa mgando au mwamba wa kivolkeno unajitokeza pale ambako magma au lava inaganda.
* Mwamba Tabaka-mwamba mashapo hutokea pale ambako miamba inavunjika na kusagwa katika mmomonyoko na mashapo yanakandamizwa kwa njia ya kanieneo ya mashapo ya juu hadi mashapo kuwa mwamba mapya.
* Mwamba Geu-mwamba metamofia ni mageuzi ya miamba ya awali -ama ya kivolkeno au ya mishapo- kwa njia ya kanieneo kubwa sana na joto kali kuwa aina mpya ya mwamba. Metamofosi kwa kawaida hutokea katika kina kubwa.
 
=== Ardhi ===
 
=== Ardhi ===
Asili ya [[ardhi]] ni miamba iliyovunjikavunjika na kuchanganyika na mabaki ya mimea na wanyama waliooza.
 
==Picha==
 
<center><gallery>
Picha:Salterncovenorth1.JPG|Maganda ya mwamba mashapo
Line 46 ⟶ 44:
</gallery></center>
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|geology}}