Tezi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Tezi''' ni [[ogani]] za [[mwili]] zinazotoa [[dutu]] za pekee ambazo ni muhimu kwa kazi ya mwili kwa jumla na hasa kwa ogani nyingine. Zinapatikana katika
Kimsingi kuna aina mbili za tezi▼
*tezi exokrini zinazotoa kiowevu chenye kazi ya pekee kwa mfano tezi za [[jasho]], tezi za [[mate]] au tezi za [[nyongo]] ya utumbo. Tezi hizi zinaunganishwa na kichirizi ambacho ni njia ya kupeleka kiowevu pale kinapohitajika kwa mfano mdomoni, kwenye utumbo na kadhalika.▼
*tezi endokrini zinazotoa [[homoni]] na kuzimwaga katika mzunguko wa damu. Homoni zinazunguka kote mwilini lakini zinaathiri ogani pekee ambazo zina molekuli za kupokea homoni fuani.▼
▲Kimsingi kuna aina mbili za tezi:
▲*[[tezi
▲*[[tezi endokrini]] zinazotoa [[homoni]] na kuzimwaga katika [[mzunguko wa damu]]. Homoni zinazunguka kote mwilini lakini zinaathiri ogani pekee ambazo zina [[molekuli]] za kupokea homoni
{{mbegu-biolojia}}
[[jamii:mwili]]
|