Maradhi ya zinaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d sp
Mstari 27:
[[Picha:Takwimu za vvu.png|thumb|400px|right|Takwimu za Maambukizi ya VVU ulimwenguni]]
 
== UambukizajiMaambukizi waya magonjwa ya zinaa ==
 
Magonjwa ya zinaa huambukizwa na wakala wa magonjwa – [[bakteria]] wadogowadogo, [[virusi]], [[parasites]], [[fungi]] na [[protozoa]] wakaao katika sehemu vuguvugu na zenye unyevunyevu katika mwili kama vile [[sehemu za siri]], [[mdomoni]] na [[kooni]]. Magonjwa mengi ya zinaa husambaa wakati wa [[kujamiiana]] (katika [[uke]] au mkunduni), lakini aina nyingine za kukutana kimapenzi kama kwa kutumia midomo (''oral sex'') zinaweza kusambaza magonjwa.