Uraibu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
Hisia za aina hii zinaweza kupatikana kutokana
* kusikia matokeo ya kuingiza [[pombe]] au [[dawa]] fulani kwenye mwili
* kusikia matokeo ya kuvuta [[sigara]], [[bangi]] au madawa mengine
* kujishughulisha na michezo ya kompyuta, michezo ya fedha, simu ya mobile, kutazama televisheni n.k.
* au matendo ya kurudia mengine ambayo yanaweza kuwa tofauti sana kama vile kununua vitu au kuiba
 
Uraibu hutazamiwa kama hali ya ugonjwa. Katika jamii inaeleweka kwa kawaida kama uraibu wa dawa yaani dutu zinazomfanya mtu kurudia matumizi hata kama inaharibu afya, hali yake katika jamii na hata kuvunja sheria. Hapo ni hasa [[dawa za kulevya]] zinazojulikana zinaunda uraibu.
 
Lakini matumizi ya kiraibu ya dawa inakuja pamoja na hali ya kiroho iliyofananainayofanana kabisa na hali ya uraibu wa vitu au matendop mengine.
 
== Tovuti za Nje ==