Shingo ya nchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 2:
'''Shingo ya nchi''' ([[ing.]]/[[gir.]] ''isthmus'') ni kanda nyembamba ya nchi kavu yenye maji kila upande inayounganisha sehemu mbili kubwa zaidi ya nchi.
 
Mfano bora ni [[shingo ya nchi ya [[Panama]] inayounganisha [[Amerika ya Kati]] na [[Amerika ya Kusini]]. Mifano mengine mashihuri ni shingo ya nchi ya [[Suez]] baina [[Afrika]] ([[Misri]]) na [[Asia]] halafu shingo ya nchi ya [[Korintho]] kati ya rasi ya [[Peloponesi]] na [[Ugiriki]] bara.
 
Mara nyingi shingo ni mahali panapofaa kwa kujenga [[mfereji]] kwa sababu hapo umbali kati ya magimba mawili ya maji ni ndogo zaidi.