Mashariki ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 91:
Wakati wa [[vita baridi]] mashindano kati ya magharibi na [[Umoja wa Kisovyeti]] yaliendeshwa vikali katika Mashariki ya Kati. Serikali mbalimbali zilichezacheza kati ya pande hizo mbili.
 
==Wakazi ==
Leo hii wakazi wa Mashariki ya kati mara nyingi wanatazamiwa kwa jumla kuwa "Waarabu". Hii ni kweli kwa kiasi tu kwa sababu mbili
* Nchi kadhaa kama Uturuki, Iran na Israel zina wakazi Waarabu wachache tu
* Kwa jumla eneo hili ni mchanganyiko mkubwa wa makabila mengi na vikundi vingi vyenye lugha, tamaduni na dini tofautitofauti.
 
Ni Kweli ya kwamba idadi kubwa ya wakazi leo hii wanatumia lugha ya Kiarabu. Lugha muhimu katika eneo hili ni:
* [[Kiarabu]]
* [[Kifarsi]] (pamoja na [[lugha za Kirani]] mbalimbali)
* [[Kituruki]] (pamoja na [[lugha za Kiturki]] mbalimbali)
* [[Kiberber]]
* [[Kikurdi]]
 
pamoja na lugha nyingine mbalimbali kama [[Kiebrania]], [[Kiaramo]] au [[Kiarmenia]].
==Viungo vya nje==
{{commons|Middle East|Mashariki ya Kati}}