Mashariki ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 72:
 
===Ugunduzi wa mafuta===
[[Picha:Dammam No. 7 on March 4, 1938.jpg|250px|thumbnail|Mafuta ya petroli jinsi ilivyotoka nje kwa nguvu mara ya kwanza 4 Machi 1938 nchini Saudia]]
[[Picha:BrennendeOelquellenKuwait1991.jpg|250px|thumbnail|Chemchemi za mafuta ziliwaka katika vita ya Iraq dhidi Kuwait 1991]]
[[Picha:Tankers at the Iraqi Al Basra Oil Terminal in the Northern Arabian Gulf.jpg|250px|thumbnail|Meli za kubeba mafuta ni kama mshipa wa damu ya uchuimi wa dunia (hapa bandari ya mafuta ya Basra, Iraq)]]
Hadi Vita Kuu ya Kwanza mataifa yote katika eneo la Ghuba ya Uajemi yalikuwa dhaifu, bila [[uchumi]] imara na bila uwezo wa kijeshi. Hasa upande wa Uarabuni watawala wadogo walisimamia miji michache kwenye pwani tu na sehemu kubwa ya watu waliishi katika utaratibu wa kikabila bila kujali serikali.
 
Line 92 ⟶ 95:
Mapato kutokana na mafuta yalianza kubadilisha [[maisha]] na [[jamii]] za nchi zote zinazouza mafuta kwenye [[soko la dunia]]. Hasa watawala wa nchi ndogo walikuwa [[matajiri]] kupita kiasi, wakaweza kuendelea na mfumo wa utawala wa [[mfalme asiyebanwa na katiba]] kwa muda mrefu kwa sababu waliweza kuwagawia wananchi wao sehemu za [[utajiri]] wa mafuta.
 
Wakati wa [[vita baridi]] mashindano kati ya magharibi na [[Umoja wa Kisovyeti]] yaliendeshwa vikali katika Mashariki ya Kati. Serikali mbalimbali zilichezacheza kati ya pande hizo mbili.
 
==Wakazi ==