Mashariki ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 30:
==Historia ya Mashariki ya Kati==
===Kitovu cha ustaarabu===
[[Picha:Jerusalem kotel mosque.jpg|250px|thumbnail|Ukuta wa maombolezo na Kuba ya Mwamba mjini Yerusalemu ni mahali patakatifu wa Wayahudi na Waislamu kandokando]]
Nchi zinazoitwa kwa Kiingereza "Mashariki ya Kati" ziko kwenye eneo la [[dunia]] ambako watu na tamaduni za [[Asia]], [[Afrika]] na [[Ulaya]] hukutana.
 
Line 36 ⟶ 37:
Pamoja na mahali pa kubadilishana [[bidhaa]] na [[teknolojia]], eneo hili lilikutanisha pia mawazo, [[falsafa]] na [[dini]]. Hadi leo Mashariki ya Kati ni [[kitovu]] cha kiroho cha dini za [[Uzoroasta]], [[Uyahudi]], [[Ukristo]] na [[Uislamu]].
 
Idadi kubwa ya aina za kwanza za [[ustaarabu]] duniani zilianza hapa kama vile [[Mesopotamia]] ([[Sumeri]], [[Akkad]], [[Assyria]], [[Babeli]]) na [[Misri ya Kale]], zikifuatwa na zile za [[Uajemi]], [[Ugiriki wa Kale]], Israeli ya Kale, [[Finisia]] na nyingine.
 
===Muhtasari wa historia ya utawala===