Meksiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 130:
Chanzo cha vita ya uhuru kilikuwa mabadiliko katika Ulaya. Napoleon mtawala wa Ufaransa alimkamata mfalme Ferdinand VII wa Hispania akamlazimisha kujiuzulu na kumpa kakaye Joseph Napoleon ufalme wa Hispania. Hatua hii ilifuatwa na wimbi la uasi nchini Hispania dhidi ya mfalme Mfaransa. Katika Hispania Mpya (Mexico) kamati za miji kadhaa zilizoongowa na Kreoli ziliapa kumfuata mfalme mfungwa halali pekee. Kamati Kuu ya Mexiko City ilitaka kuanzisha bunge la pekee kwa sababu Hispania haikuwa tena na serikali halali. Mfalme mdogo (gavana mkuu) alikubali. Viongozi wengine walitangaza ilhali mfalme halali hayuko tena sasa nguvu yote iko mkononi mwa wananchi. Hapo Wahispania katika koloni walioshika vyeo vikuu waliamua kumpindua mfalme mdogo na kuwakamata viongozi wa Kreoli. Uasi ulifaulu lakini vikundi vidogo vya wapinzani kwa uhuru kutoka Hispania waliendelea kukutana nchini na kukusanya viongozi. Hatimaye padre Kreoli [[Miguel Hidalgo y Costilla]] alikusanya jeshi la wanamigambo wakulima Waindio na Kreoli akapigana na jeshi lililokuwa chini ya mamlaka ya maofisa Wahispania. Miguel Hidalgo alishindwa na kuuawa lakini hii ilikuwa chanzo cha uasi mkubwa ambako Wakreoli na wakulima Waindio walipigana na jeshi lililofuata amri ya Wahispania katika koloni.
 
Mwaka kiongozi wa upande wa migambo ya uhuru Guerrero na jenerali wa jeshi la serikali [[Agustin de Iturbide]] walikutana wakapatana kuungana. Vikosi vingi vya jeshi la kikoloni vilihamia upande wao. Gavana mpya aliyefika kutoka Hispania aliamua kukubali uhuru uliotangazwa tarehe 28 Septemba 1821. Iturbide alikuwa [[rais]] wa kwanza na baadaye kwa kipindi kifupi [[Kaisari]] wa Mexiko hadi kujiuzulu mwaka 1823 na Mexiko ikaendelea kuwa [[jamhuri]].
 
====Karne ya 19====
[[Picha:Mexico's Territorial Evolution.png|300px|thumbnail|Maeneo yaliyoongezwa, yaliyotengwa au kujitenga na Mexiko tangu uhuru wa mwaka 1821: A) Maeneo yaliyotwaliwa na Marekani (nyekundu, kichungwa, nyeupe), Chiapas kuchukuliwa kutoka Guatemala (buluu), eneo la Yucatan lililotwaliwa (nyekundu) na maeneo ya Shirikisho la Amerika ya kati (dhambarau)]]
LakiniKatika miaka iliyofuata nchi haikupata msimamo imara kisiasa wala kiuchumi. Serikali mara nyingi zilikuwa hafifu na kubadilishana.
 
Vikundi vya [[ushikiiaji ukale]] na [[uliberali]] vilipigana hadi kuingia katika [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]].
 
Mwaka wa uhuru maeneo ya kusini yalijitenga na kuwa [[Shirikisho la Amerika ya Kati]] lililofarakana baadaye kuwa nchi za [[Guatemala]], [[Honduras]], [[El Salvador]], [[Nikaragua]] na [[Costa Rica]]
 
1835 Marekani iliojaribu kununua maeneo ya Texas na Kalifornia lakini Mesxiko ilikataa. Hata hivyo utawala wa Mexiko kuhusu maeneo haya ya kaskazini yake ulikuwa hafifu na wa juujuu tu, Waindio wenyeji walijitegemea hali halisi nje ya miji michache. Hivyo serikali ya Mexiko ilikaribisha walowezi kutoka Marekani kuhamia Texas. Hao walowezi wenye utamaduni wa Kiingereza-Kimarekani walitangaza uhuru wao mwaka 1836 wakaunda [[Jamhuri ya Texas]] iliyochukuliwa na Marekani mwaka 1845 kuwa jimbo lake.
Lakini miaka iliyofuata nchi haikupata msimamo kisiasa wala kiuchumi.
 
Hatua hii ilisababisha [[Vita vyaya MexicoMarekani na MarekaniMexiko]] ya 1846 - 1848. Mexiko ikashindwa na kazkazini yote ikawa sehemu ya Marekani ([[1846Kalifornia]], [[1848New Mexico]]), viliishia[[Arizona]], na[[Nevada]], nchi[[Utah]] kuiachana jirani[[Colorado]], karibujumla [[theluthi]] moja ya eneo lake lote.
 
Mexiko ilishambuliwa mara mbili na Ufaransa kutokana na madai juu ya [[madeni]] ya taifa kwa raia au benki za nje. Kwenye [[vita ya keki]] (1838-39) Ufaransa ilidai fidia kwa uharibifu uliotokea katika duka la keki la Mfaransa mjini Mexiko na [[manowari]] za Ufaransa zilishambulia mabandari ya Mexiko hadi raisi yake kukubali deni hili. Mashambulio makubwa zaidi yalifuata mwaka 1861. Mexiko ilishindwa kulipa madeni kwa mataifa ya nje. Ufaransa chini ya [[Napoleon III]] iliamua kufanya Mexiko nusu-koloni yake; jeshi la Ufaransa ilivamia nchi, kufukuza serikali na kumweka Mwaustria [[Maximilian I]] kama "Kaisari wa Mexiko". Serikali ya rais [[Benito Juarez]] alipinga uvamizi huu kwa njia ya vita ya wanamigambo na 1866 Wafaransa walipaswa kuondoka tena, Maximilian aliuawa 1867.
Katika [[karne ya 19]] vilitokea [[vita vya Pastry]], [[vita vya Ufaransa na Meksiko|vita dhidi ya Ufaransa]], [[vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Meksiko|vita vya wenyewe kwa wenyewe]], majaribio mawili ya kuanzisha [[ukaisari]] na moja la kuwa na [[udikteta]].
 
====Karne ya 20====
Udikteta huo [[mapinduzi ya Meksiko|ulipinduliwa]] mwaka [[1910]], halafu katiba mpya ilitangazwa mwaka [[1917]] na ndiyo inayoongoza siasa ya nchi hadi leo.
Utawala wa rais [[Porfirio Díaz]] uliendelea kwa miaka zaidi ya 30 na kuwasha moto ya mapinduzi ya Mexiko alipojaribu kushinda tena kwa udanganyifu mwaka 1910.
 
Miaka hadi 1921 [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]] iliharibu sehemu kubwa za nchi. kuna makaditio ya kwamba wananchi milioni 1,5 (kati ya milioni 15) waliuawa na zaidi ya 200,000 walikuwa wakimbizi, hasa kwenda Marekani<ref>[http://www.hist.umn.edu/~rmccaa/missmill/mxrev.htm Robert McCaa, "Missing millions: the human cost of the Mexican Revolution." Mexican Studies 19#2 (2001)]</ref>.
 
Baada ya mapinduzi mamlaka ilichukuliwa na chama cha Partido Nacional Revolucionario (PNR) kilichoendelea kutawala kwa miaka 71 kuanzia 1929 hadi 2000.
 
== Watu ==