Jangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[Picha:ValleLuna-002.jpg|thumb|300px|Jangwa la Atacama]]
 
'''Jangwa''' ni eneo pakavu penye [[mvua]] au [[usimbishaji]] kwakidogo ujumla chini ya 250 [[mm]] kwa mwakatu. Kutokana na ukavu kuna mimea michache tu pia wanyama wachache. Wanyama walioko hufanya shughuli zao hasa wakati wa usiku. Kipimo cha usimbishaji kinachobulika kimataifa ni kiwango cha chini ya 250 [[mm]] kwa mwaka<ref> Marshak (2009). Essentials of Geology, 3rd ed. W. W. Norton & Co. p. 452. ISBN 978-0-393-19656-6.</ref>. Uoto wa mimea hufunika chini ya asilimia 5 za eneo lake.
 
Wakati mwingine maeneo huitwa jangwa ambayo ni makavu kutokana na baridi kali.