Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 108:
 
Kaskazini mwa Siberia kuna [[ardhi]] iliyoganda milele maana yake baridi imeingia katika ardhi kabisa. Wakati wa joto sentimita za juu zinapoa na [[mimea]] kama [[nyasi]] na ma[[ua]] inastawi lakini hakuna miti mikubwa kwa sababu nusu mita chini ya ardhi [[halijoto]] iko daima chini ya =[[C°]].
 
==Siasa==
 
===Utawala===
[[File:Moscow Kremlin from Kamenny bridge.jpg|thumb|right|Kreml wa Moskwa ni kitovu cha serikali na ikulu ya [[Rais wa Urusi]]]]
 
Kulingana na katiba cha nchi Urusi ni shirikisho na [[jamhuri]] ambako rais ni mkuu wa nchi <ref>{{cite web|title=The Constitution of the Russian Federation|work=(Article 80, §1)|url=http://www.constitution.ru/en/10003000-05.htm|accessdate=27 December 2007}}</ref> [[waziri mkuu]] ni kiongozi wa [[serikali]]. Shirikisho la Urusi linafuata muundo wa [[demokrasia]] yenye [[mfumo wa vyama vingi]]. Kuna [[serikali ya kiraisi]] yenye [[Mgawanyo wa madaraka|mikono mitatu]]:
* [[Bunge]]: kuna sehemu mbili ambayo moja ni [[duma ya Urusi]] yenye wabunge 450 na [[Halmashauri ya Shirikisho la Urusi]] lenye wawakilishi 166 waliochaguliwa na bunge za [[Maeneo ya Shirkisho la Urusi]].
* Serikali: [[Rais wa Urusi|rais]] ni [[Amiri Jeshi Mkuu]], anaweza kutoa [[veto]] dhidi ya sheria zilizoamuliwa na bunge, na kuteua [[baraza la mawaziri]] pamoja na maafisa wengine muhimu.
* [[Mahakama]]: Kuna [[Mahakama ya kikatiba]], [[Mahakama Mkuu]] na mahakama nyingine za ngazi za shirikisho na majaji wanachaguliwa na HAlmashauri ya Shirikisho kufuatana na mapendekezo ya rais.
 
Raisi huchaguliwa katika kura ya wananchi wote kwa kipindi cha miaka sita akiweza kurudishwa mara moja madarakani; anaweza kugombea tena baada ya kupumzika angalau kipindi kimoja. <ref>{{cite web|title=The Constitution of the Russian Federation|work=(Article 81, §3)|url=http://www.constitution.ru/en/10003000-05.htm|accessdate=27 December 2007}}</ref>
 
Baraza la mawaziri ina waziri mkuu na mawaziri wake wanaoteuliwa na rais kulingana na pendekezo ka waziri mkuu. Waziri mkuu anahitaji kukubaliwa na duma.
 
Vyama vya kisiasa muhimu ni [[Urusi wa Umoja]], [[Chama cha Kikomunisti cha Urusi]], [[Chama Huria cha Urusi]] na [[Urusi wa Haki]].
 
===Mfumo wa Shirikisho===
Kuna [[Maeneo ya Shirikisho la Urusi]] 85.
[[File:Russian Regions-EN.svg|center|600px|Ramani ya Maeneo ya Shirikisho la Urusi]]
Kulingana na katiba ya nchi kuna maeneo 85 yanayofanya shirikisho lake. <ref>{{cite web|title=The Constitution of the Russian Federation|work=[[:ru:Официальный интернет-портал правовой информации|pravo.gov.ru]]|url = http://pravo.gov.ru:8080/page.aspx?94685|pages = 19, 21|language = Russian|date = 11 April 2014}}</ref> pamoja na eneo la [[Krim]] na mji wa [[Sevastopol]].<ref>{{cite web|url=http://kremlin.ru/events/president/news/20605|title=Treaty Between the Russian Federation and the Republic of Crimea on Ascension to the Russian Federation of the Republic of Crimea and on Establishment of New Subjects Within the Russian Federation|publisher=Kremlin.ru|date=18 March 2014|accessdate=10 April 2014|language=ru}}</ref>
 
Maeneo ya shirikisho yanawakilishwa sawa katika bunge na kila moja inapewa wawakilishi wawili. <ref>{{cite web|title=The Constitution of the Russian Federation|work=(Article 95, §2)|url=http://www.constitution.ru/en/10003000-06.htm|accessdate=27 December 2007}}</ref> Lakini hali halisi yana viwango tofauti ya madaraka ya kujitawala katika siasa ya ndani.
 
*'''Jamhuri za shirikisho 22''' ambazo kwa jina zinajitawala, zina katiba zao zikiwa na gavana na bunge zinazochaguliwa moja kwa moja na wakazi wake. Sheria ya Urusi inaamuru uchaguzi wa moja kwa moja wa wakuu wa jamhuri lakini hwaruhusiwi tena kutumia cheo cha "raisi".<ref>[http://graph.document.kremlin.ru/page.aspx?1;1538006 Federal Law of 28.12.2010 No. 406-FZ]</ref> Jamhuri ina haki ya kujiamulia kuhusu lugha rasmi. HAdhi ya jamhuri ilianzishwa kutokana na kuwepo kwa kabila kubwa au taifa lenye utamaduni usio wa Kirusi. Hali halisi jamhuri nyingi zina wakazi wengi Warusi kutokana na historia ya uhamiaji katika zamani za [[Umoja wa Kisovyeti]].
*'''Mikoa ya Urusi''' ni 55 na kuna majina mawili kwa mikoa hii. Mingi inaitwa [[oblast ya Urusi|oblasts]] ambayo ni hali ya kawaida na 9 inaitwa [[krai ya Urusi|krai]] ka sababu za kihistoria; zote zina gavana na wabunge wanaochaguliwa na wakazi moja kwa moja.
* [[Jiji la Shirikisho la Urusi|Majiji ya Shirikisho]] 3 ambayo ni majiji yaliyopewa hadhi ya pekee kutokana na umuhimu wao wa kitaifa ([[Moscow]], [[Sankt Petersburg]] na [[Sevastopol]])
* [[Eneo huru la Urusi|Maeneo huru]] 5 ambayo ni maeneo makubwa penye watu wachache yaliyopewa hadhi ya pekee kwa sababu ni maeneo ya kidesturi ya wenyeji asilia wasio Warusi; sku hizi kote Warusi wamekuwa wengi lakini hadhi ya eneo huru ni jaribio la kuonyehsa heshima kwa utamaduni wa pekee wa wenyeji asilia. "Uhuru" katika mengi ni kwa jina tu, mengi hutawaliwa kiutawala na mkoa wa jirani na uhuru unahusu zaidi utamaduni na kutunza lugha a wenyeji asilia. MAeneo manne huitwa "okrug" huru na moja "oblast huru" ambayo ni [[Eneo huru la Kiyahudi]])
 
Maeneo yote ya Shirikisho yamepangwa katika [[Kanda ya Shirikisho la Urusi|kanda]] 9. Kila moja huwa na Mkuu wa Kanda anayeteuliwa na raisi na kazi yake ni kusimamia na kuangalia kazi ya serikali za maeneo.
 
 
 
== Historia ==