Elki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
No edit summary
Mstari 18:
| bingwa_wa_spishi = [[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758
}}
{{Commonscat|Alces alces}}
 
'''Elki''' (kutoka [[Kiingereza|Kiing.]]: ''[[w:Moose|elk]]'', [[Kisayansi]]: ''Alces alces'') ni spishi kubwa inayoishi ya familia ya [[kulungu (Cervidae)|kulungu]]. Elki wanajulikana kwa vichwa vyao vikubwa na mashada yao ya pembe zinazogawanyika kama vidole vya kiganja; spishi nyingine za familia huwa na mashada ya pembe zinazogawanyika katika matawi. Kwa kawaida elki huishi misituni mwa kaskazini na misitu yenye miti ya kupukutika majani yake ya [[Nusudunia ya Kaskazini]] katika hali za nchi za wastani hadi maeneo ya chini ya [[Aktiki]]. Kutokana na uwindaji, elki wana makazi madogo zaidi. Sasa elki wengi wanapatikana [[Kanada]], [[Alaska]], [[Skandinavia]] na [[Urusi]]. Wao hula mimea ya ardhini na majini. Wanyama ambao huwinda elki ni [[mbwa-mwitu]], [[dubu]] na [[binadamu]]. Tofauti na spishi zingine za kulungu, elki ni wanyama pweke na huwa hawaishi na kundi la elki wengine. Ingawa elki kwa kawaida hutembea polepole, wakasirishwapo elki waweza kuwa mkali na kusonga haraka. Wakati wa [[demani]] iliye majira yao ya kupandana, madume wa spishi hupigana na madume wengine na kumshindania jike.