Tofauti kati ya marekesbisho "3 Oktoba"

28 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
{{Oktoba}}
== Matukio ==
* [[1932]] - Nchi ya [[Iraq]] inapata [[uhuru]] kutoka [[Uingereza]].
* [[1990]] - [[Ujerumani]] imeunganikaumeunganika tena kuwa nchi moja. [[Mikoa]] yote ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]] inajiunga na [[Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani]].
 
== Waliozaliwa ==
* [[1458]] - [[Kasimir Mtakatifu]], [[mwana mfalme]] wa [[Poland]]
* [[1904]] - [[Charles Pedersen]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1987]]
* [[1947]] - [[Feetham Filipo Banyikwa]], [[mwanasiasa]] wa [[Tanzania]]
 
== Waliofariki ==
* [[1226]] - [[Mtakatifu]] [[Fransisko wa Asizi]], [[shemasi]], [[mwanzilishi]] wa [[Ndugu Wadogo]]
* [[1929]] - [[Gustav Stresemann]], mwanasiasa [[Ujerumani|Mjerumani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]] mwaka wa [[1926]]
 
* [http://canadachannel.ca/todayincanadianhistory/index.php/oktoba_3 Today in Canadian History]
 
{{DEFAULTSORT:oktobaOktoba 03}}
[[Jamii:Oktoba]]