Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 59:
 
== Jiografia ==
<sup><small>Angalia makala ya [[Jiografia ya Urusi]]</small></sup>
 
Eneo la Shirikisho la Kirusi linajumlisha sehemu kubwa ya kaskazini ya ma[[bara]] ya [[Ulaya]] na [[Asia]]. Umbali kati ya upande wa magharibi na upande mashariki kabisa ni karibu [[kilomita]] 8,000.
 
Mkoa wa [[Kaliningrad]] haufuatani moja kwa moja na maeneo mengine ya Urusi: umetengwa nayo kijiografia na [[nchi za KibaltikiLithuania]].
 
Mara nyingi Urusi hutazamiwa kama sehemu mbili: Urusi wa Ulaya hadi milima ya [[Ural]] na [[Siberia]] au Urusi wa Kiasia ambayo ni nchi pana kati ya [[Ural]] na [[Pasifiki]].
 
Pwani ndefu ya kaskazini inatazama [[Bahari ya Aktiki]].
 
Sehemu kubwa ya Urusi ni tambarare penye vilima vidogo tu. Milima mirefu inapatikana kusini na mashariki mwa [[Siberia]].
 
=== Pwani na visiwa===
Jumla Urusi ina pwani ndefu sana zenye urefu wa kilomita 37,000 kwenye [[Bahari Aktiki]] na [[Pasifiki]], pia kwenye [[Bahari Baltiki]], [[Bahari Nyeusi]] na [[Bahari ya Kaspi]].<ref name=cia>{{cite web|last=The World Factbook|title=CIA|publisher=Central Intelligence Agency|url=https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/rs.html|accessdate=26 December 2007}}</ref>
 
[[Visiwa]] vikubwa vya Urusi ni [[Novaya Zemlya]] na [[Kisiwa cha Wrangel]] kwenye Bahari Aktiki na [[Sakhalin]] kwenye Pasifiki. Funguvisiwa muhimu ni [[Funguvisiwa ya Franz Josef]], [[Severnaya Zemlya]], [[Visiwa vya Siberia Mpya]] katika Bahari aktiki, halafu [[Kurili]] katika Pasifiki.
 
 
===Kanda za uoto===