Nairobi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 34:
 
Nairobi imeanzishwa mw. 1899 na Waingereza kama kambi ya kujenga [[Reli ya Uganda]]. Mahali ilikuwa karibu katikati ya [[Mombasa]] na [[Kampala]], palikuwa na maji ikaonekana ilifaa kwa kituo njiani. Mwanzo wa Nairobi ilikuwa kambi kubwa ya hema na ghala za vifaa vya kujenga reli.
Mwanzoni viongozi wengine walitaka kuacha eneo hili kwa sababu ya matope mengi. Lakini makao iliendelea kukua nyumba za mawe zikajengwa. Mw. 1905 Waingereza walihamisha ofisi kuu ya serikali yao ya kikoloni kutoka Mombasa kwenda Nairobi ikawa makao makuu ya [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]] (''British East Africa war'', baadaye ''Kenya Colony'').
 
1963 ikawa mji mkuu wa nchi huru ya Kenya.