Tofauti kati ya marekesbisho "Trinitrotoluene"

1 byte added ,  miaka 4 iliyopita
taipo
(taipo)
'''Trinitrotoluene''' au kifupi '''TNT''' ni [[kampaundi]] ya kikemia inayotumiwa hasa kama [[kilipukaji]] yacha kijeshi.
 
TNT si kilipukaji kikali zaidi kushinda vingine lakini inapendelewa kwa sababu matumizi yake ni salama kushinda [[dainamiti]] au [[nitrogliserini]]. Gramu 1 ya TNT inachisha nishati ya [[jouli]] 4.184 ilhali gramu 1 ya dainamiti inaachisha jouli 7.500. TNT inayeyuka (kuwa kiowevu) kwenye sentigredi 80 ambayo ni chini ya halijoto yenye hatari ya kulipuka; hivyo inaweza kumwagwa kwa umbo linalotakiwa bila hatari.