Afrika ya Mashariki ya Kiingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Stamp British East Africa 1896 2.5a.jpg|right|120px|thumb|[[Stempu]] ya [[posta]] ya [[anna]] 2 1/2, mwaka [[anna1896]], 1896.]]
'''Afrika ya Mashariki ya Kiingereza''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''British East Africa Protectorate'') lilikuwa jina la eneo la [[Kenya]] lililowekwa chini ya [[utawala wa ulinzi]] wa [[Uingereza]] kuanzia mwaka [[1895]] hadi [[1920]] [[BK]] kama mtangulizi wa [[koloni]] yala Kiingereza yala Kenya.
 
==Historia==
'''Afrika ya Mashariki ya Kiingereza''' ([[ing.]] ''British East Africa Protectorate'') lilikuwa jina la eneo la [[Kenya]] lililowekwa chini ya [[utawala wa ulinzi]] wa [[Uingereza]] kuanzia mwaka 1895 hadi 1920 [[BK]] kama mtangulizi wa koloni ya Kiingereza ya Kenya.
Wakati wa mashindano ya kugawa [[Afrika]] kati ya [[madola]] ya [[Ulaya]] [[Kampuni ya Kifalme ya Kiingereza kwa Afrika ya Mashariki]] ilianza shughuli zake katika eneo hili kwa [[kibali]] cha [[sultani]] wa [[Zanzibar]] kuanzia mwaka [[1888]]. Kampuni hiyo ilitakiwa kuwa na [[mamlaka]] juu ya eneo hili kwa kusudi la kufanya [[biashara]], lakini uwezo wake haukutosha kutimiza shughuli, hasa maandalizi ya kujenga [[reli ya Uganda]] kati ya [[Mombasa]] na [[Kampala]].
 
Baada ya kuazimia kujenga [[reli]], [[Uingereza]] iliona haja ya kulinda eneo la reli hiyo: ndipo ikatangaza eneo lote kati ya Mombasa na Uganda kuwa chini ya ulinzi wake kuanzia tarehe [[1 Julai]] 1895. Huo ndio mwanzo wa Afrika ya Mashariki ya Kiingereza ambaye baadaye iliitwa Kenya.
Wakati wa mashindano ya kugawa [[Afrika]] kati ya madola ya [[Ulaya]] [[Kampuni ya Kifalme ya Kiingereza kwa Afrika ya Mashariki]] ilianza shughuli zake katika eneo hili kwa kibali cha [[sultani]] wa [[Zanzibar]] kuanzia mwaka 1888. Kampuni hiyo ilitakiwa kuwa na mamlaka juu ya eneo hili kwa kusudi la kufanya biashara lakini uwezo wake haukutosha kutimiza shughuli hasa maandalizi ya kujenga [[reli ya Uganda]] kati ya [[Mombasa]] na [[Kampala]].
 
Baada ya kuazimia kujenga reli [[Uingereza]] iliona haja ya kulinda eneo la reli hiyo ndipo ikatangaza eneo lote kati ya Mombasa na Uganda kuwa chini ya ulinzi wake kuanzia tarehe 01.07.1895. Huo ndio mwanzo wa Afrika ya Mashariki ya Kiingereza ambaye baadaye iliitwa Kenya. Eneo hilo baadaye lilipanuliwa zaidi hadi kukutana na maeneo yaliyokuwa chini ya [[utawala]] wa [[Italia]] ([[Somalia]]) na [[Ethiopia]] upande wa [[Kaskazini]], utawala wa ushirikiano wa [[Misri]] na Uingereza ([[Sudan]]). Upande wa [[kusini]] mpaka ulifuata mapatano na [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].
 
Mpaka na eneo chini ya utawala wa ulinzi wa [[Uganda]] ulisahihishwa mwaka [[1905]]; hadi wakati ule sehemu kubwa ya eneo la Kenya ya Magharibi ya leo ilihesabiwa kuwa upande Uganda.
 
Baada ya [[vita kuu ya kwanza]] hali ya eneo lilibadilishwailibadilishwa kuwa koloni yala Kenya kuanzia 1920.
 
{{Hoja Kuhusu Tanzania}}
{{Hoja Kuhusu Kenya}}
 
{{mbegu-historia}}