Content deleted Content added
Mstari 173:
Naona umesahihisha [[michoro ya Kondoa]], asante. Natafuta jina kwa ile "rock art". Sanaa ya mwambani? Sanaa mwambani?? Sanaa miambani?? Umewahi kuona kitu? '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 07:44, 28 Aprili 2016 (UTC)
:Nilipokaa Kondoa nilisikia "michoro ya mapango" hasa. Nikatafuta mtandaoni sasa hivi na kupata hata hati ya serikali kutoka mwaka wa 2011 inayozungumzia "Michoro ya Mapango ya Kondoa (Kondoa Rock Art Sites)", angalia [http://parliament.go.tz/polis/uploads/documents/1458739247-HS-3-1-2011.pdf hapa]. Tovuti nyingine inaiita "Michoro ya Mapangoni", ila habari yenyewe imenakilishwa kutoka wikipedia yetu :) ... Haya, nadhani huwezi kukosa kwa kutumia "michoro ya mapango". Wasalaam, --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita#top|majadiliano]])''' 11:12, 28 Aprili 2016 (UTC)
::Asante lakini sidhani ni hii. Naona Mwandishi alikuwa na neno la kiingereza "Cave Art" , "Cave Paintings" akilini mwake. Lakini si kawaida Afrika mahali pengi si hasa mapango (jinsi ilivyo Ulaya penye majirabaridi kali) lakini penye kuta za mwamba penye labda kishubaka au chini ya sehemu inayotokeza kidogo. au jinsi nilivyoona hapa Uajemi ukutani moja kwa moja bila kitu cha juu. Nikitaka kuandika juu ya jumla "Michoro ya mapangoni" ni sehemu tu. Naelekea "Sanaa ya miambani", nasubiri MNkenyaMkenya akamkama atajibu, huko kuna NGO ya kuhifadhi african rock art. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 17:04, 28 Aprili 2016 (UTC)