Kairo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured
No edit summary
Mstari 23:
[[Picha:Large Cairo Landsat.jpg|thumb|260px|'''Kairo''' jinsi inavyoonekana kutoka angani - '''njano''' ni rangi ya [[jangwa]], '''kijani-nyeusi''' ni rangi ya mashamba kwenye bonde la [[Nile]] linalopanuka kuwa [[delta]] na rangi ya '''kijivu''' ni nyumba za Kairo]]
 
'''Kairo''' ([[Kar]] القاهرة ''al-Qāhira'' – „mwenye ushindi“) ni [[mji mkuu]] wa [[Misri]] na mji mkuumkubwa wa nchi zote za kiarabu, pia moja kati ya majiji makubwa duniani.
 
Kairo inakadiriwa kuwa na wakazi 10,230,350 mjini penyewe<ref>Walikuwa 7,902,085 mwaka 2011 wakati wa sensa, taz. [http://www.citypopulation.de/php/egypt-admin.php?adm1id=01 Al-Qāhirah (Governorate) 2011]</ref> pamoja na mitaa ya nje na mapembizo ni 15,628,325<ref>[http://www.citypopulation.de/php/egypt-greatercairo.php Wakazi wa Kairo Kubwa] walihesabiwa katika sensa ya 2011 kuwa 15,628,325.</ref>.
Kairo inakadiriwa kuwa na wakazi 7,734,614 mjini penyewe pamoja na mitaa ya karibu ni 15,502,478.
 
Ndani ya eneo la Kairo ya leo ulikuwepo mji wa [[roma ya Kale|Kiroma]] wa [[Babiloni ya Misri]]. [[Waarabu]] walipovamia Misri mwaka [[641]] walijenga karibu kambi la jeshi lao lililoitwa [[Fustat]]. Fustat ikawa makao makuu ya watawala Waislamu Misri; miji yote miwili ya Babiloni na Fustat zikakua kuwa mji mmoja ulioitwa al-Qāhira (=mji wa ushindi) au Kairo.
 
 
==Jiografia==
[[File:View from Cairo Tower 31march2007.jpg|thumb|right|Sehemu ya kusini ya kisiwa cha Gezirakilichopo ndani ya mto Nile, Opera ya Kairo (jengo jeupe) na nyuma kitovu cha mji pamoja na meidani ya Tahrir ng'ambo ya mto.]]
[[File:Cairo Nile River.jpg|thumb|right|Mto [[Nile]] unapita mjini Kairo]]
[[File:Zamalek Arial.jpg|thumb|right|Kisiwa cha Gezira katuikati ya Jiji]].]]
 
Kairo iko kwenye sehemu ya kaskazini ya [[Misri]] takriban kilomita 160 kusini mwa pwani la [[Mediteranea]]. Mji ulikua kando la [[mto Nile]]. Hapa ni mahali ambako mto Nile unatoka katika bonde unamovuka [[jangwa]] na kujigawa kuwa na [[delta]] pana hadi bahari ya [[Mediteranea]].
 
Jinsi ilivyo kwenye majiji mengi makubwa wenyeji hutofautisha kati ya mji asilia mwenyewe na jiji kubwa kwa jumla. Mji wa Kairo mwenyewe una eneo la 453 km³ tu, uko upande wa mashariki wa mto pamoja na visiwa viwili ndani ya mto; jiji pamoja na vitongoji limepanuka pande zote mbili kuelekea ndani ya jangwa.<ref>{{cite web|url=http://www.cairo.gov.eg/C17/C8/Cairo%20Maps/default.aspx |publisher=Cairo Governorate |accessdate=10 September 2009 |title=Cairo Maps |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/20090419130737/http://www.cairo.gov.eg:80/C17/C8/Cairo%20Maps/default.aspx |archivedate=19 April 2009 }}</ref><ref name="citypop">{{cite web|url=http://www.citypopulation.de/Egypt.html |publisher=City Population |last=Brinkhoff |first=Thomas |accessdate=12 September 2009 |title=Egypt: Governorates & Cities}}</ref>
 
Katika karne ya 19 mto Nile ulibanwa kwa handaki na mifereji. Hadi wakati ule mifuriko na mabadiliko kwenye mwendo wake walitokea mara kwa mara. Historia hii ya mabadilko ya mwendo wa mto ni sababu ya kwamba mitaa mipya ya mji iko karibu na mto mwenyewe mahali ambako zamani wangeogopa kujenga, ni mitaa ya [[Garden City (Kairo)|Garden City]], [[Kairo mjini]] na Zamalek.<ref name="riverbank">
{{cite web
| url = http://geography.about.com/od/egyptmaps/a/cairo-geography.htm
| title = Ten Facts about Cairo, Egypt
| author = Amanda Briney
| date = 20 February 2011
| work = Geography of Cairo
| publisher = About.com
| accessdate =14 July 2012
}}</ref>
 
Kusini mwa Kairo mjini wa leo kuna [[Kairo ya Kale]] penye mabaki ya miji iliyotangulia hapa kama vile [[Babyloni ya Misri]] (enzi ya [[Bizanti]] kabla ya uvamizi wa Waislamu) na [[Fustat]] (mji mkuu wa kwanza wa Kiislamu nchini Misri).
 
Sehemu za [[Bulaq]] ziko leo upande wa kazkazini ya mji mwenyewe zilianzishwa kama eneo la bandari ya mtoni mnamo karne ya 16. Boma la Kairo ([[ar.]] ''qale salah ad din'') inaonyesha mahali ambako mji wa Kairo yenyewe ulianzishwa na [[Wafatimi]]. Upande wa magharibi wa mji wa Kairo uliathiriwa na mpangilio wa jiji wa kimagharibi ukiwa na barabara pana, uwanja mbalimbali na nyumb za kisasa. Upande wa mashariki una zaidi mitaa midogomidogo, nyumba za kienyeji na kujaa watu wengi mno.
 
 
== Tazama pia ==