Uhindu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Marejeo na viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|arz}} (6) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 24:
* [[Singapur]] (0.3 millioni)
* [[Surinam]] (0.2 millioni).
 
==Jina==
Neno ''Hindu'' latokana na lugha ya [[Kisanskrit]] ambako ''Sindhu'' ni jina la kale la [[mto Indus]] uliopo kwenye sehemu ya magharibi kaskazini ya [[Bara Hindi]]. "Hindu" imepatikana mara ya kwanza wakati wa [[karne ya 6 KK]] katika andishi la mfalme [[Darius I]] kwa maana "watu ng'ambo ya mto Indus (Kisanskrit: Sindhu). <ref>Flood, Gavin D. (1996), An Introduction to Hinduism, Cambridge University Press, uk. 6</ref> Hapa "Sindhu / Hindu" haina maana ya kidini bali ya kijiografia pekee.
 
Katika [[Kiajemi]] neno "Hindu" lamaanisha wakazi wa Uhindi pamoja na wafuasi wa dini kubwa ya nchi hii. Mnamo karne ya 11 milki iliundwa na Waajemi katika Bara Hindi iliyoitwa "Hindustan" na mji mkuu ilikuwa [[Lahore]]<ref>[http://www.iranicaonline.org/articles/hindu J. T. P. de Bruijn, makala HINDU] kwa Encyclopædia Iranica Vol. XII, Fasc. 3, pp. 311-312, inapatikana online kwa http://www.iranicaonline.org/articles/hindu, ilitazamiwa 6-05-2016</ref>.
 
Baadaye Waingereza walipokea jina hili kutoka kwa Kiajemi, wakiitumia kwanza kwa nchi na baadaye hasa kwa wafuasi wa dini zisizo za Kiislamu, Kiyahudi wala Kikristo. Jina ''Hinduism'' (iliyoandikwa mwanzoni ''Hindooism'') lilikuwa kawaida tangu karne ya 18 kwa kutaja falsafa na dini zenye asili ya India.<ref>Will Sweetman (2003), Mapping Hinduism: 'Hinduism' and the Study of Indian Religions, 1600-1776, Otto Harrassowitz Verlag, ISBN 3-931479498, pages 163, 154-168</ref>
 
 
 
 
== Marejeo na viungo vya Nje ==
<references/>
* [http://www.britannica.com/ebc/article?eu=402241 Rigveda. Britannica Concise Encyclopedia]
* [http://encarta.msn.com/encyclopedia_761555715/Hinduism.html "Hinduism" on Microsoft Encarta Online]