Uhindu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 26:
 
==Jina==
[[Neno]] ''Hindu'' latokanalinatokana na [[lugha]] ya [[Kisanskrit]] ambakoambapo ''Sindhu'' ni jina la kale la [[mto Indus]] uliopo kwenye sehemu ya [[magharibi]] [[kaskazini]] ya [[Bara Hindi]]. "Hindu" imepatikana mara ya kwanza wakati wa [[karne ya 6 KK]] katika andishi la [[mfalme]] [[Darius I]] kwa maana ya "watu wa ng'ambo ya mto Indus (Kisanskrit: Sindhu). <ref>Flood, Gavin D. (1996), An Introduction to Hinduism, Cambridge University Press, uk. 6</ref> Hapa "Sindhu / Hindu" haina maana ya kidini bali ya [[jiografia|kijiografia]] pekee.
 
Katika [[Kiajemi]] neno "Hindu" lamaanishalinamaanisha wakazi wa Uhindi pamoja na wafuasi wa dini kubwa ya nchi hiihiyo. Mnamo [[karne ya 11]] [[milki]] iliundwa na Waajemi katika Bara Hindi iliyoitwa "[[Hindustan]]" na [[mji mkuu]] ilikuwaulikuwa [[Lahore]]<ref>[http://www.iranicaonline.org/articles/hindu J. T. P. de Bruijn, makala HINDU] kwa Encyclopædia Iranica Vol. XII, Fasc. 3, pp. 311-312, inapatikana online kwa http://www.iranicaonline.org/articles/hindu, ilitazamiwa 6-05-2016</ref>.
 
Baadaye [[Waingereza]] walipokea jina hilihilo kutoka kwa Kiajemi, wakiitumiawakilitumia kwanza kwa nchi na baadaye hasa kwa wafuasi wa dini zisizo za [[Kiislamu]], [[Uyahudi|Kiyahudi]] wala [[Kikristo]]. Jina ''Hinduism'' (iliyoandikwa mwanzoni ''Hindooism'') lilikuwa kawaida tangu [[karne ya 18]] kwa kutaja [[falsafa]] na dini zenye asili ya India.<ref>Will Sweetman (2003), Mapping Hinduism: 'Hinduism' and the Study of Indian Religions, 1600-1776, Otto Harrassowitz Verlag, ISBN 3-931479498, pages 163, 154-168</ref>
 
== Marejeo na viungo vya Nje ==
 
==Viungo vya Nje ==
 
 
== Marejeo na viungo vya Nje ==
<references/>
* [http://www.britannica.com/ebc/article?eu=402241 Rigveda. Britannica Concise Encyclopedia]