Sayari : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 13:
(c) kama ni gimba tawala ya obiti yake na hivyo limeondoa magimba mengine kwenye obiti kwa graviti yake,
Ufafanuzi huu uliamuliwa kwa kura hata kama wanaastronomia wengine hawakukubali. Azimio jili liliondoa hadhi ya sayari kwa [[Pluto]] <ref> Pia na
Wakati mwingine kuna pia magimba mengine yanayoitwa "sayari" ingawa hayatoshelezi masharti yote matatu.
* Magimba ya angani katika mfumo wa jua letu yenye umbo la kufanana na tufe yasiyolingana na shart c) huitwa "[[sayari kibete]]" - kwa mfano Pluto.
* Magimba yanayozunguka nyota nyingine nje ya mfumo wa jua letu, kama yana masi ya kutosha, huitwa "[[sayari za nje]]" (ing. ''[[w:exoplanet|exoplanet]]'')
==Sayari za jua letu==
|