Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 18:
 
* Magimba ya angani katika mfumo wa jua letu yenye umbo la kufanana na tufe yasiyolingana na shart c) huitwa "[[sayari kibete]]" - kwa mfano Pluto.
* Magimba yanayozunguka nyota nyingine nje ya mfumo wa jua letu, kama yana masi ya kutosha, huitwa "[[sayari za nje]]" (ing. ''[[w:exoplanet|exoplanet]]''). Hadi Mei 2016 kuna 2125 zilizotambuliwa <ref>Schneider, Jean (16 January 2013). "[http://exoplanet.eu/catalog/ Interactive Extra-solar Planets Catalog]". The Extrasolar Planets Encyclopaedia. ilitazamiwa 8 Mei 2016</ref>.
*Magimba yenye masi ya sayari ambazo si sehemu ya mfumo wa jua lolote lakini zinapita angani zinazoweza kuitwa sayari temebezi (ing. [[w:Rogue planet|wandering planets]]).
 
==Majina ya sayari==
Katika lugha za Ulaya majina ya sayari za jua letu yanatokana na majina ya miungu ya [[Roma ya Kale]] au [[Ugiriki ya Kale]]. Kwa Kiswahili majina ya sayari zinazoonekana kwa macho (bila darubini) yatokana na lugha ya Kiarabu, isipokuwa sayari ya pili ina pia jina lenye asili ya Kibantu hii ni [[Ng'andu]] (pia: Zuhura).
 
==Sayari za jua letu==