Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita"

No edit summary
::: Tena ukilinganisha sanaa na michoro, utagundua kwamba neno la michoro hutumiwa mara nyingi zaidi kuliko neno la sanaa, k.m. "sanaa ya miambani" iko mara saba tu mtandaoni kulingana na mara 560 kwa "michoro ya miambani". Naomba tuangalie matumizi ya maneno yanavyotumiwa na watu wengi. Asanteni. --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita#top|majadiliano]])''' 19:36, 28 Aprili 2016 (UTC)
:::::asante kwa ushauri, tazama [[michoro ya miambani]]. Bado nahisi ya kwamba "michoro ya mapango" kwa michoro ya Kondoa ni zaidi tafsiri kutoka Kiingereza ambako zamani "cave paintings" ilikuwa kawaida zaidi kuliko "rock art". Maana kile ninachokumbuka cha Kondoa kweli si mapango... (nimesikia kuna mapango huko sehemu ambako sikuenda). michoro ya mapango iko kabisa kuna mingine nje ya mapango na hapo si mara ya kwanza ya kwamba tunapitapita klwenye matope. Asante '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 08:09, 29 Aprili 2016 (UTC)
== msaada tafadhali ==
Please write [https://ru.wikipedia.org/wiki/%D0%92%D0%B8%D0%BA%D0%B8%D0%BF%D0%B5%D0%B4%D0%B8%D1%8F:%D0%A4%D0%BE%D1%80%D1%83%D0%BC_%D0%B0%D0%B4%D0%BC%D0%B8%D0%BD%D0%B8%D1%81%D1%82%D1%80%D0%B0%D1%82%D0%BE%D1%80%D0%BE%D0%B2 here] question in english language why me blocked in russian wikipedia, then wikipedia talk and then wikimail (they not understood what happened and just blocked everywhere) this very easy write (likely me block and in kiswahili wikipedia). '''[[Mtumiaji:CYl7EPTEMA777|CYl7EPTEMA777]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:CYl7EPTEMA777|majadiliano]])''' 08:12, 9 Mei 2016 (UTC)
840

edits