Tofauti kati ya marekesbisho "Utamaduni"

197 bytes removed ,  miaka 4 iliyopita
 
=== Mafunzo ya Kitamaduni ===
Nchini Uingereza, wanasosholojia na wasomi wengine walioathiriwa na umarxUmarx, kama vile Stuart Hall na Raymond Williams, walianzisha mafunzo ya kitamaduni. Wakifuata nyayo za Walimbwende wa karne ya kumi na tisa19 walihusisha utamaduni na matumizi ya bidhaa na mambo ya anasa(ziada (kama vile sanaa, muziki, filamu, chakula, michezo na mavazi). Hata hivyo walielewa mitindo ya kula na ya anasa inaamuliwa na mahusiano ya uzalishaji ambayo iliwafanya kuangazia zaidi mahusiano ya kitabaka na mpangilio wa uzalishaji.<ref> jina = "Williams"> [[Raymond Williams]] (1976) [[Keywords: A Vocabulary of Culture and Society]] Rev Ed. (Newyork: Oxford UP, 1983), uk. 87-93 na 236-8.</ref><ref> Yohana Berger, Peter Smith Pub. Inc, (1971) ''Njia za Ukiangalia'' </ref> Nchini Marekani mafunzo ya kitamaduni yaliangazia pakubwa juu ya uchunguzi wa utamaduni pendwa yaani maana ya kijamii ya uzalishaji kwa wingi wa bidhaa za matumizi na anasa. Dhana hii ilibuniwa na Richard Hggart mnamo mwaka wa 1964 alipoanzisha mjini Birmingham Kituo cha mafunzo ya kisasa ya kitamaduni.(Centre for Contemporary Cultural Studies/CCCS).Tokea hapo kituo hicho kimehusishwa sana na Stuart Hall ambaye alichukua mahali pa Hoggart kama mkurugenzi.
 
Kuanzia [[miaka ya 1970]] na kuendelea, kazi aliyoasisi Stuart Hall pamoja na wenzake Paul Wills, Dick Hebdige, Tony Jefferson na Angela McRobbie, waliunda muungano wa kiusomi wa kimataifa. Uwanja huu ulipokua kuungana mawanda mengine kama vile siasa ya kiuchumi,mawasiliano,sosholojia,nadharia ya kijamii,nadharia ya kifasihi,nadharia ya vyombo vya habari,mafunzo ya filamu/video,anthropolojia ya kitamaduni,falsafa,mafunzo ya makavazi, na sanaa ya historia ili kuchunguza matukio ya kitamaduni au matini za kitamaduni. Katika uwanja huu watafiti wanajikita juu ya namna tukio fulani linavyohusiana na masuala ya itikadi, utaifa, ukabila, tabaka la kijamii, na/au jinsia. Mafunzo ya kitamaduni yanahusisha maana na matendo ya kila siku ya maisha. Matendo haya yanahusisha namna watu wanavyofanya vitu fulani( kama vile kutazama runinga, au kula) katika utamaduni fulani. Uwanja huu huchunguza maana na matumizi watu huwekea vifaa na matendo fulani. Hivi karibuni ,vile ubepari umeenea kote duniani(mchakato uitwao utandawazi),mafunzo ya kitamaduni yameanza kuchanganua njia za kienyeji na za kilimwengu za kupinga kutawaliwa na Magharibi.
 
Katika muktadha wa mafunzo ya kitamaduni,wazo la matini halihusishi tu lugha iliyoandikwa bali huhusisha filamu,picha,fesheni, au mitindo ya nywele:matini za mafunzo ya kitamaduni hujumuisha sanaa-baki za maana za utamaduni.{{Citation needed|date=Julai 2009}} Vilevile uwanja huu hupanua dhana ya "utamaduni". "Utamaduni" kwa mtafiti wa mafunzo ya kitamaduni hujumuisha utamaduni asilia wa juu( utamaduni wa makundi tawala ya jamii)<ref> Bakhtin, Mikhail 1981. ''The Dialogic Imagination.'' Austin, TX: UT Press, p.4</ref> na utamaduni pendwa na maana na matendo ya kila siku. Mawili ya mwisho ndiyo yanayotiliwa maanani na mafunzo ya kitamaduni. Mwelekeo zaidi na sasa ni mafunzo ya utamaduni linganishi unaotokana na uwanja wa fasihi linganishi na mafunzo ya kitamaduni.{{Citation needed|date=Julai 2009}}
 
Wasomi nchini Uingereza na Marekani walibuni aina tofauti za mafunzo ya kitamaduni baada ya kuasisiwa kwa taaluma hii miaka ya mwishoni mwa 1970. Aina ya mafunzo ya kitamaduni ya Uingereza yalianzishwa miaka ya 1950 na 1960 kutokana na athari ya kwanza Richard Hoggart,E.P.Thompson na Raymond Williams na baadaye Stuart Hall na wengineo katika kituo cha mafunzo ya kisasa ya utamaduni katika chuo kikuu cha Birmingham. Hii ilihusisha maoni ya kisiasa ya mrengu wa kushoto na shutuma dhidi ya utamaduni pendwa kuwa ulikuwa utamaduni wa umati wa kibepari.. Ilijumuisha baadhi ya mawazo ya tahakiki ya Shule ya Frankfurt ya kiwanda cha utamaduni.(yaani utamaduni wa umati). Hii inajitokeza katika maandishi ya wasomi wa mwanzoni wa Uingereza wa mafunzo ya kitamaduni na athari zao:Tazama kazi zatazama (kwa mfano) kazi za Raymond Williams, Stuart Hall, Paul Willis, na Paul Gilroy.
 
Nako nchini Marekani Lindlof na Taylor wanasema ya kwamba mafunzo ya kitamaduni yalikitwa katika utamaduni wa kiprigmatiki wa uliberali wa wingi".<ref> (Lindlof &amp; Taylor, 2002, p.60</ref> Aina ya mafunzo ya utamaduni ya Marekani mwanzoni yalijihusisha zaidi na kuelewa namna hadhira ingechukulia matumizi ya utamaduni wa umati.Kwa mfano wakereketwa wa mafunzo ya utamaduni Marekani waliandika kuhusu vipengele vya kiliberali vya fandom.{{Citation needed|date=Julai 2009}} Tofauti baina ya mitazamo ya Marekani na Uingereza sasa imefifia.{{Citation needed|date=Julai 2009}} Watafiti wengine hasa katika mafunzo ya mwanzoni ya utamaduni Uingereza wanatumia ruwaza za kimarx katika taaluma hii. Huu mtindo wa kufikiria una athari kutoka kwa Shule ya Frankfurt,lakini athari kubwa inatoka kwa umarx muundo wa Louis Althusser na wengineo. Mkazo wa umarx asili ni juu ya maana ya ''uzalishaji'' . Ruwaza hii huchukua uzalishaji kwa wingi na hutambua uwezo/mamlaka huwa miongoni mwa wale wanaotoa sanaa baki. Katika mtazamo wa kimarx,wale wanaothibiti njia za uzalishaji (''msingi'' wa uchumi) kimsingi ndiyo hutawala utamaduni.{{Citation needed|date=Julai 2009}} Mielekeo mingine kuhusu mafunzo ya utamaduni kama vile mafunzo ya ufeministi ya utamaduni,na maendeleo ya kimarekani katika taaluma yanajitenga na wazo hili. Wanashutumu umarx kwa maana moja ya utamaduni ambayo inaaminiwa na wote. Mielekeo isiyo ya umarx inapendekeza njia mbalimbali za kushughulikia utamaduni wa sanaa-baki huathiri maana ya zao. Wazo hili linaelezewa vizuri katika kitabu cha Paul du Gay na wengine, ''Doing Cultural Studies: The case of Sony Walkman'', (na Paul du Gay na wengine),ambacho kinapinga wazo kwamba wale wanaozalisha bidhaa huthibiti maana ambazo watu huhusisha nazo. Mchanganuzi wa kifeministi wa utamaduni, mwananadharia na mwanahistoria wa sanaa Griselda Pollock alichangia katika mafunzo ya utamaduni akitumia mitazamo ya sanaa historia,saikolojiachanganuzi. Mwandishi Julia Kristeva ana ushawishi mkubwa akichangia kwa mafunzo ya kitamaduni kupitia taaluma za sanaa na saikolojiachanganuzisaikolojia changanuzi ya [[ufeministi]] wa kifaransaKifaransa.{{Citation needed|date=Julai 2009}}
 
== Mabadiliko ya kitamaduni ==