Tisini na tisa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tisini na tisa''' (au '''tisa na tisa''') ni namba inayoandikwa '''99''' kwa tarakimu za kawaida na XCIX kwa zile za Kirumi. Ni...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:46, 14 Mei 2016

Tisini na tisa (au tisa na tisa) ni namba inayoandikwa 99 kwa tarakimu za kawaida na XCIX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 98 na kutangulia 100.

Tanbihi