Kilimanjaro (volkeno) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d CYl7EPTEMA777 alihamisha ukurasa wa Kilimanjaro (mlima) hadi Kilimanjaro (Volkeno)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kilimanjaro 2006-08-13.JPG|thumb|250px|Mlima Kilimanjaro unavyoonekana kutoka [[Moshi (mji)|Moshi]]]]
[[Picha:Kibo summit of Mt Kilimanjaro 001.JPG|thumb|250px|Kilele cha Kibo kwenye mlima Kilimanjaro]]
'''Kilimanjaro''' ni [[mlimavolkeno]] mrefu kuliko yote [[Bara|barani]] [[Afrika]]. Mlima huu uko nchini [[Tanzania]] katika [[Mkoa wa Kilimanjaro]]. Una [[urefu]] wa [[mita]] 5,895 ([[futi]] 19,340).
 
Hali halisi Kilimanjaro ni zaidi ya mlima tu, ni kama safu ndogo ya milima mitatu: Kibo, Mawenzi na Shira. Hii mitatu inaonekana kama vilele vitatu vya mlima mmoja hivyo si vibaya kusema Kilimanjaro ni mlima.