Lukuledi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Mto Lukuledi, mdomo mnamo 1910 wakati wa maji kupwa.jpg|thumbnail|Mdomo wa mto Lukuledi karibu na Lindi kwenye kiangazi wakati wa maji kupwa]]
'''Mto Lukuledi''' unaingia katika [[Bahari Hindi]] kwenye [[mji wa Lindi]].
Lukuledi ina urefu wa takriban 160 km. Wakati wa ukame maji si mengi lakini kwenye 40 km za mwisho kabla ya mdomo maji hupatikana. Kwenye 20 km za mwisho kabla ya mdomo mto hupanuka kuwa hori ya bahari na sehemu hii ya mwisho huitwa pia '''Lindi Creek'''.
 
Bonde la Lukuledi hutenganisha nyanda za juu za Makonde na bonde za juu za Muera.