Oka (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Spit of the Oka and Volga.jpg|thumb|300px|Oka inapoishia kwenye Volga kwenye mji wa Nizhniy Novgorod]]
[[Picha:Okarivermap.png|thumb|300px|Mwendo wa mto Oka katika beseni ya Volga]]
 
[[Picha:Spit of the Oka and Volga.jpg|thumb|Oka inapoishia kwenye Volga kwenye mji wa Nizhniy Novgorod]]
'''Mto Oka''' ni [[tawimto]] wa [[mto Volga]] yenye urefu wa kilomita 1,480 katika sehemu ya kiulaya ya [[Urusi]]. Ni tawimto mkubwa wa pili ya Volga baada ya [[mto Kama]]. [[Tawimto]] muhimu zaidi ni [[mto Moskva]].