Tofauti kati ya marekesbisho "Uhindi"

71 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
}}
[[File:India in its region (undisputed).svg|thumb|]]
'''Uhindi''' (pia: '''India''') ni [[nchi]] kubwa ya [[bara]] la [[Asia]], upande wa [[kusini]], ikienea hasa kati ya [[Bahari ya Hindi]].
 
Kwa eneo ina nafasi ya saba [[duniani]], lakini kwa [[idadi]] ya wakazi (1,210,193,422 mwaka [[2011]]) ni nchi ya pili [[dunia]]ni baada ya [[China]]. Kati ya nchi za ki[[demokrasia]] ndiyo yenye watu wengi zaidi duniani.
 
Imepakana na [[Pakistan]], [[China]], [[Nepal]], [[Bhutan]], [[Bangladesh]] na [[Myanmar]].
 
==Watu==
[[Lugha ya taifa]] ni [[Kihindi]], ambacho ni [[lugha ya Kihindi-Kiulaya]], pamoja na [[Kiingereza]] ambacho pia ni [[lugha rasmi]]. Kuna [[lugha]] 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana.
 
Kusini mwa Uhindi watu husema [[lugha za Kidravidi]] kama [[Kikannada]], [[Kitelugu]], [[Kitamil]] na [[Kimalayalam]].
 
[[Kaskazini]] husema hasa [[Kipunjabi]], [[Kibengali]], [[Kigujarati]] na [[Kimarathi]].
 
Lugha ndogo chache ambazo si lugha za Kihindi-Kiulaya (74 %) wala za Kidravidi (24 %) ni [[lugha za Kisino-Tibeti]], [[lugha za Kiaustro-Asiatiki]] auna [[lugha za Kitai-Kadai]]. [[Visiwani]] mwa [[Andaman]], kulikuwa na [[lugha za Kiandamani]] lakini nyingi zao zimeshatoweka kabisa.
 
Wakazi walio wengi (79.8 %) hufuata [[dini]] ya [[Uhindu]]. Takriban 14.2 % ni [[Uislamu|Waislamu]]; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya tatu katika [[umma]] wa Kiislamu duniani baada ya Waislamu wa [[Indonesia]] na Pakistan.