PK2
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
--Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:13, 2 Januari 2021 (UTC)
- Hi, after you started the new page Module:Navbar/configuration there are problems with some templates. Why? Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:33, 2 Agosti 2024 (UTC)
- The reason I created that template along with many others is because I want them to be more like the ones on the English Wikipedia. As for why some of them have problems, I don't know. PK2 (majadiliano) 21:51, 2 Agosti 2024 (UTC)
- Then you shouldn't mess with the stuff you don't know. Please rectify the error. MuddybLonga 06:47, 3 Agosti 2024 (UTC)
- Can you share which template generated error? MuddybLonga 06:48, 3 Agosti 2024 (UTC)
- Ndugu Muddyb, mfano ni kigezo cha {{Walimu wa Kanisa}} ambacho sasa hakionekani. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:37, 8 Agosti 2024 (UTC)
- Pole kwa changamoto. Nimeona kinaonekana. Kuna maboresho wamefanya. MuddybLonga 13:43, 9 Agosti 2024 (UTC)
- Ukifungua kigezo kinaonekana, lakini katika kurasa zenye kigezo hicho siyo! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:20, 9 Agosti 2024 (UTC)
- Pole kwa changamoto. Nimeona kinaonekana. Kuna maboresho wamefanya. MuddybLonga 13:43, 9 Agosti 2024 (UTC)
- Ndugu Muddyb, mfano ni kigezo cha {{Walimu wa Kanisa}} ambacho sasa hakionekani. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:37, 8 Agosti 2024 (UTC)
- The reason I created that template along with many others is because I want them to be more like the ones on the English Wikipedia. As for why some of them have problems, I don't know. PK2 (majadiliano) 21:51, 2 Agosti 2024 (UTC)