Dadra na Nagar Haveli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Dadra na Nagar Haveli''' ni eneo la muungano la jamhuri ya India. Dadra iko ndani ya jimbo la Gujarat, wakati Nagar Haveli iko kati ya ji...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Dadra Nagar Haveli Locator Map.svg|thumb|right|Mahali pa Dadra na Nagar Haveli nchini India na [[ramani]] yake.]]
'''Dadra na Nagar Haveli''' ni eneo la muungano la [[jamhuri]] ya [[India]]. [[Dadra]] iko ndani ya jimbo la [[Gujarat]], wakati [[Nagar Haveli]] iko kati ya jimbo hilo na lile la [[Maharashtra]].
 
Line 7 ⟶ 8:
[[Makao makuu]] ni [[Silvassa]].
 
Wakazi ni 342,853 ([[2011]]). Wengi wao (62[[%]]) ni wa ma[[kabila]] asili: [[Wavarli]], [[Wadhodia]], [[Wakokna]] n.k.
 
Upande wa [[dini]], wanaongoza [[Wahindu]] (93.93[[%]]), halafu kuna [[Waislamu]] (3.75%), [[Wakristo]] (1.48%) n.k.
 
{{India}}